19 May 2026, 05:23 UTC76 viewsread 8 August 2026 Ubora Wa Masiku Kumi Ya Mwanzo Ya Dhul Hijjah
Alhamdulillahi Waswalatu Wasalaaam Alaa Rasuulillah Wabaad:
قال الله تعالى: وَٱلۡفَجۡرِ ١ وَلَيَالٍ عَشۡرٖ ٢
Amesema Allah aliyetukuka:
Naapa Kwa Wakati Wa Alfajri. Na Ninaapa Kwa Masiku Kumi.
Mola Aliyetukuka Ni Mtukufu Haapi Ila Kwa Yale Yaliyo Matukufu.
Hakuna Shaka Kuwa Haya Ni Masiku Bora Katika Masiku Ya Dunia.
Kuyatumia Vema Masiku Haya Kwa Kutenda Amali Njem…
Signed ابن خيار
19 May 2026, 05:21 UTC63 viewsread 8 August 2026 Hadithi Ya Leo: Hakuna Masiku Yaliyo Bora Zaidi Mbele Ya Allah Kuliko Masiku Kumi 10 Ya Dhul-Hijjah
عن جابر بن عبدالله رضي الله عنهما، أن رسول الله ﷺ قال: ” ما من أيامٍ أفضلُ عندَ اللهِ من أَيَّامِ عَشْرِ ذِي الحِجَّةِ “.
📚 صحيح الترغيب للألباني (١١٥٠)
Kutoka Kwa Jaabir Ibn Abdillaah Allah Amridhie: Kwamba Mtume ﷺ Amesema: “Hakuna Masiku Yaliyo Bora Zaidi Mbele Ya Allah Kuliko Masiku Kumi 10 Ya Dhul-Hijjah”.
ق…
Signed ابن خيار
19 May 2026, 05:18 UTC51 viewsread 8 August 2026 Tanbihi Muhimu Kwa Yule Mwenye Kutaka Kuchinja Udh’Hiya
عن أم سلمة رضي الله عنها، أن النبي ﷺ قال: ” إذا رَأَيْتُمْ هِلالَ ذِي الحِجَّةِ، وأَرادَ أحَدُكُمْ أنْ يُضَحِّيَ، فَلْيُمْسِكْ عن شَعْرِهِ وأَظْفارِهِ “.
صحيح مسلم: (1977).
Kutoka Kwa Ummu Salamah Allah Amridhie: Hakika Mtume ﷺ Amesema: “Pindi Mutakapo Uona Mwezi Muondamo Wa Dhul-Hijjah (Mfunguo Tatu), Na Mmoja Wenu Akataka Kuchinja Udh’Hiya, Basi Ajizuilie (A…
Signed ابن خيار
9 Feb 2026, 13:49 UTC150 viewsread 8 August 2026 Forwarded from @markazibnuthaymeen
🔴 #LIVE DAWRAH
🕌 MARKAZ SHEIKH MUHAMMAD BIN UTHAYMEEN - MBWENI | ZANZIBAR 🇹🇿
📓 SOMO:
DARSA YA MANHAJ
🎙MFUNDISHAJI :-
SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA حفظه الله تعالى ورعاه
_Gusa viunganishi vifuatavyo kusikiliza mubaashara_
0️⃣1️⃣ YouTube livestreaming:
https://www.youtube.com/live/-yMloJ5XnZw?si=-go9Hr0BvFuW3gEx
0️⃣2️⃣ Salafussaalih Radio:
https://salafussaalih.net/radio-maahad-ibn-uthaymeen-zanzibar
0️⃣3️⃣ Z…
Signed أبو النعمان الحارث
30 Jan 2026, 03:14 UTC163 viewsread 8 August 2026 Photo
*FOMU YA USAJILI👇👇:*
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSfVbirnJ1hhe9a1_yhhQc-aKzM3qK4ydahJQlKoXMuDlLo5Tg/viewform
_🖇️Usiache kuungana nasi kupitia viunganishi vifuatavyo:_
*Our WhatsApp group:*
https://chat.whatsapp.com/Bel7J67qgFW711cNFdXPmA
*Our Telegram Channel:*
https://t.me/zanzibar_daawatu_ssalafiyyah
*Our Website:*
http://www.salafussaalih.net
*✍🏽TANBIHI:HAKUTAKUWA NA GHARAMA YOTOTE YA USAJILI,GHA…
Signed Rec. Abuu Dharry
30 Jan 2026, 03:12 UTC136 viewsread 8 August 2026 https://youtu.be/yg7Yl1AX7CE
Signed Rec. Abuu Dharry
6 Jun 2024, 14:02 UTC807 viewsread 8 August 2026 *🕌MA'AHAD SHEIKHIL ISLAM IBN TAYMIYYAH PONGWE TANGA TANZANIA 🇹🇿*
*🔈SKILIZA SEMINA FUPI YA WANAWAKE*
https://t.me/maahadpongweliveduruus?livestream
*📖 KITABU :-*
📚 آداب طالب العلم
*_🎙USTADH ABUU MUDHWAFFAR ABDILLAH حفظه الله تعالى ورعاه_*
*#MASJID ZAINAB BINT JAHSH - PONGWE TANGA.*
Signed Rec. Abuu Dharry
Live stream finished (1 hour)
6 Jun 2024, 07:12 UTC747 viewsread 8 August 2026 *🕌MA'AHAD SHEIKHIL ISLAM IBN TAYMIYYAH PONGWE TANGA TANZANIA 🇹🇿*
*🔈SKILIZA SEMINA YA WANAWAKE👇🏼👇🏼*
https://t.me/www_salafussaalih_net?livestream
*📚KITABU :*
📚 دروس المهمة لعامة الأمة
*🔈KIPINDI CHA PILI 02*
*_🎙️MWALIMU_*
*_🎙USTADH ABUU SHAAKIR SHARIFU حفظه الله تعالى ورعاه_*
*#MASJID ZAINAB BINT JAHSH - PONGWE TANGA.*
Signed Rec. Abuu Dharry
6 Jun 2024, 07:12 UTC641 viewsread 8 August 2026 File
📢 SEMINA FUPI YA WANAWAKE WA KIISLAMU 2024M 📢
🕌 MA'AHAD SHEIKHIL ISLAM IBN TAYMIYYAH - PONGWE TANGA - TANZANIA 🇹🇿🕌
🏝1445-2024🏝
🕌 MASJID ZAINAB BINT JAHSH, PONGWE - TANGA
📚 KITABU :
📖 دروس المهمة لعامة الأمة
✒️MTUNZI :
🖋️ الشيخ العلامة عبد العزيز بن عبد الله بن باز رحمه الله تعالى
📜MADA, DARSA YA PILI 0️⃣2⃣ :
الدرس الثاني : أركان الإسلام
🎙MFUNDISHAJI :-
USTADH ABUU SHAAKIR SHARIFU ALLY
حفظه الله تعالى …
Signed Rec. Abuu Dharry
Live stream started
Live stream finished (1 hour)
Showing the 12 most recent of 18 posts we hold for @www_salafussaalih_net. View and reaction counts are the latest single reading for each post, not a live figure, and a recent post is still accumulating both. A view count marked ≈ was rounded by Telegram before we ever saw it — t.me prints views in full below 1,000 and to three significant figures above, so ≈1,200,000 means somewhere between 1,150,000 and 1,249,999. Unmarked counts are exact. Text is reproduced from the public post preview and truncated for length.