3 Jul 2024, 14:44 UTC214 views1 reactionsread 8 August 2026 App nyingine sio lazima ufanye task just install.
Hii wanalipa kwa kushare internet
Per GB $0.2~ Tsh.500/=
1.Install App kwa kutumia link hapo chini,utapata $1 Free
2. Turn on Background Sharing.
3.Enjoy
https://discoverpawns.eu/5595554
Unaweza tumia kwenye Multiple device
Kama mtumiaji sana wa internet hapo waweza kupiga zaidi ya Tsh.100,000+ / Mwezi
NOTE.🚀🚀
Kwa watu wa Free cash, Madusko yanakuwa double dou…
🔥1
2 May 2022, 07:10 UTC504 viewsread 8 August 2026 tunaona mataifa makubwa kama RUSSIA,JAPAN,USA,KOREA na mengineyo yanakuja kasi sana kuhakikisha hawapotezi nafsi tofauti na mataifa mengi ya africa.
Pia cryptocurrency ni aset nzuri sana ya kuifadhia pesa zetu, hata kama huna mpango wa kufanya trading basi tumia katika kutunzia pesa zako na zitazidi kukua na kupanda thaman kadri siku ziunavozidi kwenda, pesa zetu za kawiada nyingi sana zinashuka thaman kila sku ila …
2 May 2022, 07:10 UTC417 viewsread 8 August 2026 ALTCOINS
Neno altcoin ni kifupi cha maneno Altenetive coins,, yaani hapa tunazungumzia zile coin mbalimbali ambazo zilizalishwa sasa baadse baada ya bitcoin na watu kuanza kuelewa utajiri na manufaa makubwa yaliyoko kwenye cryptocurrency na hicho kitu kinampa mtu yeyote nafasi ya yeye pia kufanya cryptocurrency market trading pia nayeye kuweza kupata kipato kikubwa na ndio maana tunafundisha hapa leo pia sio malengo…
2 May 2022, 07:08 UTC353 viewsread 8 August 2026 WELCOME TO WORLD OF CRYPTOCURRENCY.
Hellow Tanzania na East Africa kwa ujumla pia na wengine wote ambao mmekuja kujifuna muda huu pamoja nasi,, karibuni sana kwenye huu ulimwengu wa cryptocurrency, tunaita ulimwengu wa cryptocurrency kwani ndiko kwa sasa ulimwenu unabadika kwa kasi kwa maana ya technology kuelekea huko. Hapa utaweza kujifunza cryptocurrency kwa ujumla pia utapata nafasi ya kujifunza jinsi gani unawe…
2 May 2022, 07:08 UTC333 views1 reactionsread 8 August 2026 kifupi bitcoin na sarafu zingne ote za cryptocurrency sio lazima ununu kiasi fulani bli kutokana na mtaji wako unaweza kupata 0.0001 btc, 0.005btc,0.01btc,0.2btc nk,, pia hvohvo hata kwa coins zingne (altcoins)
JINSI YA KUHIFADHI BITCOIN NA COIN ZINGINEZO (ALTCOINS)
Unaweza kuifadhi bitcoin na coins nyingine za cryptocurency kwenye wallet zake mahalum za online ambazo ni salama na wewe pekee ndio unakuwa na acess k…
👍1
19 Apr 2022, 14:43 UTC810 viewsread 8 August 2026 Photo
Three phase
19 Apr 2022, 14:43 UTC805 viewsread 8 August 2026 Photo
Single phase
19 Apr 2022, 14:43 UTC810 views1 reactionsread 8 August 2026 PRE PAID ENERGY METER (Submeter)
Hizi ni type ya submita inayotumika kwenye nyumba za kupanga au fremu za maduka . Submita hizi unajinunulia umeme wa pekeyako na unautumia mwenyewe bila kushirikiana na mtu mwingine. Unit zako zikiisha inakata kwa aliyemaliza umeme wake tu .
Inafaa zaidi kwa Wamiliki wa fremu za maduka na wenye nyumba kwa ajili ya wapangaji wao . Kwa moja ni Tsh 150,000 tu .
Hii inakuwa mali yak…
👍1
5 Jan 2022, 12:43 UTC≈1,070 viewsread 8 August 2026 Photo
Photo, posted without a caption
5 Jan 2022, 12:43 UTC≈1,010 views1 reactionsread 8 August 2026 Suruhisho wa Migogoro ya ulipaji wa bili za umeme(LUKU)
Hasa kwenye nyumba za kupanga na maduka na sehemu nyinginezo Ambazo watu zaidi ya mmoja wana changia mita moja ya Umeme .
Ili kuepukana na migogoro hiyo karibu tukufungie mita hii uionayo kwani mita hii
Unaingiza umeme wako mwenyewe.na pindi umeme wao ukaisha kwako kunaendelea kuwaka na unaendelea na matumizi yako
Sifa za mita hii.
Unanunia umeme wako mwenyew…
👍1
13 Dec 2021, 23:09 UTC603 viewsread 8 August 2026 https://t.me/+SZySUa5FUHMycLeY
13 Dec 2021, 12:11 UTC612 viewsread 8 August 2026 UKITAKA KUSAJILIWA HUDUMA YA LIPA KWA MPESA KARIBU INBOX
BURE
KIGEZO
NIDA LAZIMA UWE NACHO AU NAMBA YA NIDA
TIN KAMA UNAYO ITAPENDEZA ZAIDI
@daudintho
Showing the 12 most recent of 18 posts we hold for @softwaretz. View and reaction counts are the latest single reading for each post, not a live figure, and a recent post is still accumulating both. A view count marked ≈ was rounded by Telegram before we ever saw it — t.me prints views in full below 1,000 and to three significant figures above, so ≈1,200,000 means somewhere between 1,150,000 and 1,249,999. Unmarked counts are exact. Text is reproduced from the public post preview and truncated for length.