21 Aug 2026, 19:39 UTC2 viewsread 21 August 2026 Views are not your business.
And this is a mistake many people make.
They get more views, gain followers, and go viral...
Then they start creating more content just to get the same viral results again.
They forget one important thing... "Being seen is not the same as being understood".
Someone can see your post, like it, and keep scrolling.
That does not mean you built a relationship.
But when they start think…
Signed ALLY MSANGI
21 Aug 2026, 06:24 UTC10 viewsread 21 August 2026 Umeambiwa Pablo EScobar alikuwa Tajiri kwa Sababu ya kuuza Madawa ya Kulevya, Si NDIO?
Ni kweli.
Lakini kuna kitu kingine kwenye story yake ambacho wafanyabiashara wengi wanaweza kujifunza bila kuhusisha uhalifu wake.
Escobar hakujenga utajiri kwa kuuza bidhaa tu. Alitengeneza MIFUMO iliyozunguka bidhaa hiyo.
Forbes iliripoti kwamba Medellín cartel ilikuwa imejenga mfumo mkubwa wa biashara uliounganisha uzalishaj…
Signed ALLY MSANGI
21 Aug 2026, 06:24 UTC9 viewsread 21 August 2026 Photo
PABLO ESCOBAR 👇🏾
Signed ALLY MSANGI
19 Aug 2026, 14:04 UTC34 viewsread 21 August 2026 Photo
Photo, posted without a caption
Signed ALLY MSANGI
19 Aug 2026, 14:04 UTC34 viewsread 21 August 2026 Sio kila siku ni kujifunza tu. Kuna siku tunafunga laptop, tunaachana na ma AI, tunaweka pembeni business ideas, marketing strategies na “How to make money online”...
Halafu tunaangalia Good Movie.
Na leo nimeona hii movie ya Nigeria, SECOND CHANCES, ikizungumzwa sana huku mitandaoni.
Nimejiambia... Ally, ebu relax kidogo. 😂
Maana kila siku niko kwenye mode ya... “Leo nimejifunza kitu kipya...”, “AI inaweza kufan…
Signed ALLY MSANGI
16 Aug 2026, 21:40 UTC49 viewsread 21 August 2026 Unapofanya Mabadiliko kwenye Career yako, basi fanya kama TARZAN.
Kuna watu wana tamani kubadilisha career zao, kuacha kazi zao za sasa na kuanza kitu kipya wanachokipenda zaidi.
Lakini kuna shida moja... wengi wanadhani ili waanze maisha mapya, lazima kwanza waache kabisa yale ya zamani.
Sasa hapa ndipo wengi wanafanya MISTAKE.
Ebu fikiria Tarzan yule wa kwenye movie ile ya wanyama anavyohama kutoka mti mmoja kw…
Signed ALLY MSANGI
15 Aug 2026, 13:02 UTC59 viewsread 21 August 2026 USITUMIE KILA PESA UNAYOIPATA. JENGA KITU KITAKACHOKULETEA PESA TENA.
Watu wengi wanapoongeza kipato, huanza kuongeza matumizi pia. Anapata mshahara mkubwa zaidi, anabadilisha simu, anaongeza gharama za maisha na baada ya muda anarudi kusema kuwa pesa bado haitoshi.
Robert Kiyosaki katika kitabu chake Rich Dad Poor Dad alisisitiza umuhimu wa kujenga assets badala ya kutegemea kipato pekee. Maana yake ni kwamba, usi…
Signed ALLY MSANGI
13 Aug 2026, 11:23 UTC67 viewsread 21 August 2026 8. Kuelewa namna ya kujenga income kupitia skills zako, hata kama huna office, kampuni kubwa au mtaji mkubwa.
9. Kujua namna ya kuanza kutoka ZERO bila kusubiri uwe na kila kitu kwanza.
10. Kuelewa kwa nini kuwa na Internet pekee hakutoshi. Unahitaji kujua unauza nini, unamuuzia nani na kwa nini akulipe.
11. Kujifunza namna ya kugeuza skill moja kuwa huduma, huduma kuwa clients, na clients kuwa income.
12. Kugund…
Signed ALLY MSANGI
13 Aug 2026, 11:22 UTC50 viewsread 21 August 2026 Photo
THE INTERNET ATM si kitabu cha kukufundisha “jinsi ya kupata hela online” kwa story za motivation.
Ni kitabu cha kubadilisha namna unavyofikiria kuhusu SKILLS, INTERNET, OPPORTUNITIES na INCOME.
Ukipata The Internet ATM, utaweza:
1. Kuelewa namna Internet ilivyobadilisha njia ambazo mtu anaweza kutengeneza kipato bila kuanza na mtaji mkubwa.
2. Kujua business models ambazo unaweza kuanza kwa kutumia skill, simu/l…
Signed ALLY MSANGI
12 Aug 2026, 12:32 UTC51 viewsread 21 August 2026 Kuna mtu amenifuata kwenye DM, akaniambia...
“Kaka Ali, TSh 23,000 ni nyingi sana kwa kitabu.”
Hebu fikiria TSh 23,000 kama pesa, si kama bei ya KITABU.
Pesa hii inaweza kuishia kwenye matumizi madogo ya kawaida, ukaamka kesho na hakuna kitu cha maana kinachobaki.
Au unaweza kuiweka kwenye kitu ambacho kinaweza kubadilisha namna unavyoitumia Internet.
THE INTERNET ATM imeandikwa kwa mtu anayetaka kuanza kutengen…
Signed ALLY MSANGI
12 Aug 2026, 08:30 UTC46 viewsread 21 August 2026 Kama Bado haujapata kitabu cha THE INTERNET ATM
Nitafute WhatsApp 0712988589
Andika “THE INTERNET ATM”
Signed ALLY MSANGI
11 Aug 2026, 19:50 UTC58 viewsread 21 August 2026 Your biggest asset isn't your followers. It's the community that trusts you.
Anyone can gain views. Anyone can go viral. But very few people build an audience that listens, engages, and comes back every time they post.
If you want to build a business with content, stop chasing numbers and start building relationships.
Show up consistently. Give people a reason to follow you.
Share your wins. Share your failures. …
Signed ALLY MSANGI
Showing the 12 most recent of 20 posts we hold for @kidigitali. View and reaction counts are the latest single reading for each post, not a live figure, and a recent post is still accumulating both. A view count marked ≈ was rounded by Telegram before we ever saw it — t.me prints views in full below 1,000 and to three significant figures above, so ≈1,200,000 means somewhere between 1,150,000 and 1,249,999. Unmarked counts are exact. Text is reproduced from the public post preview and truncated for length.