7 Aug 2026, 06:12 UTC13 viewsread 7 August 2026 Kuuendekeza Mwili Wako Kunavyokuzuia Kupata Mafanikio Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2026/08/07/kuuendekeza-mwili-wako-kunavyokuzuia-kupata-mafanikio-makubwa/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu Mpendwa, Naamini umekuwa unahudhuria misiba mbalimbali. Kwenye kila historia ya marehemu, huwa wanaeleza sababu au chanzo cha kifo. Hata kama hakitaelezwa kwa undani sana, lakini lazima watu wataambiwa maisha ya mtu huyo yalifik…
Signed AMKA MTANZANIA
6 Aug 2026, 03:33 UTC31 viewsread 7 August 2026 Kabla Hujawaonea Wivu Waliofanikiwa, Tafakari Kama Unaweza Kuvaa Hivi Viatu Vyao.
https://amkamtanzania.com/2026/08/06/kabla-hujawaonea-wivu-waliofanikiwa-tafakari-kama-unaweza-kuvaa-hivi-viatu-vyao/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu Mpendwa, Kwa nje, mafanikio yanaweza kuonekana ni kitu rahisi tu. Ukisoma au kusikiliza hadithi nyingi za mafanikio, zinaonyesha mtu alianzia chini, akaweka juhudi na kupata mafanikio makubwa…
Signed AMKA MTANZANIA
5 Aug 2026, 05:08 UTC41 viewsread 7 August 2026 Wacha Maneno, Weka Kazi.
https://amkamtanzania.com/2026/08/05/wacha-maneno-weka-kazi/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu Mpendwa, Kwa namna nimesoma vitabu na kupitia mafunzo mbalimbali ya mafanikio, sikuwahi kudhani kuna mtu aliyeandika kwa kina kuhusu mafanikio na sijawahi kukutana na kazi zake kabisa. Lakini hivi karibuni hilo limetokea, nimekutana na kazi za Art Williams, ambaye amefundisha na kuandika kwa kina sana ku…
Signed AMKA MTANZANIA
4 Aug 2026, 15:49 UTC42 viewsread 7 August 2026 Unazidisha Ugumu Wa Biashara Kwa Kuhangaika Na Mambo Haya. Yajue Na Uyaache Mara Moja.
https://amkamtanzania.com/2026/08/04/unazidisha-ugumu-wa-biashara-kwa-kuhangaika-na-mambo-haya-yajue-na-uyaache-mara-moja/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu Mpendwa, Nataka nikiri kwako kwamba nimebadilika. Najua hiyo siyo ‘breaking news’ kwako, kwa sababu unanijua, huwa najifunza kila wakati na nabadilisha na kuboresha yote ninayoyafan…
Signed AMKA MTANZANIA
3 Aug 2026, 04:59 UTC49 viewsread 7 August 2026 Hizi Dharau Ndiyo Zinakukwamisha Kufanikiwa. Zijue Na Uziache Ili Ufanikiwe.
https://amkamtanzania.com/2026/08/03/hizi-dharau-ndiyo-zinakukwamisha-kufanikiwa-zijue-na-uziache-ili-ufanikiwe/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu Mpendwa, Mtaalamu wa mahusiano Dr. John Gottman anasema kupitia uzoefu wake na tafiti nyingi alizofanya kwenye eneo la ndoa, anaweza kutabiri kwa uhakika kama ndoa itavunjika kwa kuangalia kitu kimoja …
Signed AMKA MTANZANIA
1 Aug 2026, 05:16 UTC55 viewsread 7 August 2026 Kinachoshindwa Kukuua, Hakikisha Kinakuacha Na Huu Uimara Utakaokupa Mafanikio Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2026/08/01/kinachoshindwa-kukuua-hakikisha-kinakuacha-na-huu-uimara-utakaokupa-mafanikio-makubwa/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu Mpendwa, Kwenye hadithi za kale za Ugiriki, tunaelezwa kuhusu Heracles aliyefanya kosa na kupewa adhabu na mfalme Eurystheus. Adhabu aliyopewa ilikuwa ni kuua joka kubwa lililokuw…
Signed AMKA MTANZANIA
31 Jul 2026, 11:49 UTC66 viewsread 7 August 2026 Unaruhusiwa Kuvumilia, Lakini Haikubaliki Kabisa Kuwa Na Subira Kwenye Safari Ya Mafanikio Makubwa.
https://amkamtanzania.com/2026/07/31/unaruhusiwa-kuvumilia-lakini-haikubaliki-kabisa-kuwa-na-subira-kwenye-safari-ya-mafanikio-makubwa/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu mpendwa, Kabla hujaona nakuchanganya kwa sentensi inayokinzana yenyewe, yaani uvumilivu usio na subira, tuwaangalie wahenga, waliosema; ‘kawia ufike’, laki…
Signed AMKA MTANZANIA
30 Jul 2026, 05:17 UTC71 viewsread 7 August 2026 Huyu Ndiye Adui Pekee Anayeweza Kukuzuia Kufanikiwa, Lakini Unayeweza Kumshinda.
https://amkamtanzania.com/2026/07/30/huyu-ndiye-adui-pekee-anayeweza-kukuzuia-kufanikiwa-lakini-unayeweza-kumshinda/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu Mpendwa, Mwandishi Leo Tolstoy, alianza kitabu chake cha Anna Karenina na sentensi ambayo imekuwa nukuu maarufu sana. Sentensi hiyo inasema; “Familia zote zenye furaha zinafanana; kila familia …
Signed AMKA MTANZANIA
29 Jul 2026, 08:13 UTC81 viewsread 7 August 2026 Hutafanikiwa Kwa Kufanya, Bali Kwa Kujenga. Jifunze Ujenzi Sahihi Hapa.
https://amkamtanzania.com/2026/07/29/hutafanikiwa-kwa-kufanya-bali-kwa-kujenga-jifunze-ujenzi-sahihi-hapa/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu Mpendwa, Tunaposoma historia yetu binadamu, tunaona jinsi ambavyo tumepitia zama mbalimbali hapa duniani. Kwa kipindi kirefu binadamu tumekuwepo hapa duniani, mamilioni ya miaka. Lakini kwa sehemu kubwa sana ya m…
Signed AMKA MTANZANIA
28 Jul 2026, 13:37 UTC84 viewsread 7 August 2026 Mafanikio Makubwa Yanataka Huu Ukamilifu Ambao Bado Hujaweza Kujijengea. Jifunze Hapa Jinsi Ya Kuujenga.
https://amkamtanzania.com/2026/07/28/mafanikio-makubwa-yanataka-huu-ukamilifu-ambao-bado-hujaweza-kujijengea-jifunze-hapa-jinsi-ya-kuujenga/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu Mpendwa, Wakati naanza kwenye hii tasnia ya uandishi, ukufunzi na ukocha, nilijifunza kitu kimoja ambacho kilinishangaza sana. Awali nilikuwa nad…
Signed AMKA MTANZANIA
27 Jul 2026, 03:06 UTC89 viewsread 7 August 2026 Fuata Ushauri Huu Wa Mafanikio Uliothibitishwa Kufanya Kazi Mara Zote.
https://amkamtanzania.com/2026/07/27/fuata-ushauri-huu-wa-mafanikio-uliothibitishwa-kufanya-kazi-mara-zote/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu mpendwa, Ushauri ni kitu kimoja ambacho watu wengi sana huwa wapo kukitoa bure kabisa, hata kama hawajaombwa kufanya hivyo. Imezoeleka kutoa na kupokea ushauri kwenye kila fursa inayojitokeza. Huwa nasema wazi kw…
Signed AMKA MTANZANIA
25 Jul 2026, 06:56 UTC102 viewsread 7 August 2026 Acha Kuruhusu Akili Yako Kuwa Jalala Linalopokea Kila Uchafu.
https://amkamtanzania.com/2026/07/25/acha-kuruhusu-akili-yako-kuwa-jalala-linalopokea-kila-uchafu/
Sikiliza hapa; Rafiki yangu Mpendwa, Mwaka 1930, mchumi wa Uingereza, John Maynard Keynes alitabiri kwamba ndani ya karne moja, masaa yanayohitajika kufanya kazi kwa wiki hayatazidi 15. Alionyesha kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa inaenda kwa kasi, kazi nyingi…
Signed AMKA MTANZANIA
Showing the 12 most recent of 20 posts we hold for @somavitabutanzania. View and reaction counts are the latest single reading for each post, not a live figure, and a recent post is still accumulating both. A view count marked ≈ was rounded by Telegram before we ever saw it — t.me prints views in full below 1,000 and to three significant figures above, so ≈1,200,000 means somewhere between 1,150,000 and 1,249,999. Unmarked counts are exact. Text is reproduced from the public post preview and truncated for length.